Sunday, November 4, 2012

Friday, January 27, 2012

wema sepetu, maneno ya mkosaji

thus what up sasa anadai kua baada ya kuachana na diamond mambo yake sasa yanakwenda vizuri sana, na sasa anadai kua mchumba wake huyo wa zamani alikua na mikosi,

Wednesday, January 18, 2012

lulu

hivi juzi kati kadada haka kalijikuta kakiachwa na ndege uwanja wa mwalimu julius kambalage nyerere baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amechelewa kinyume na mda aliopangiwa, hivyo kumfanya aahalishe safari hiyo ambayo ilikua niya mapumziko tu huko nchini comoro, na badara yake yupo mkoani moshi kwa mapumziko

JACK WA CHUZI

DADA HUYU STAR WA BONGO MOVIES JUZI KATI HIVI ALIBWAGA MASHANGA BAADA YA KUSUSIA CHAKULA CHA MSIBANI KWENYE MSIBA WA MSANII MARUFU HAPA INCHI MZEEKIPARA, DADA HUYU ALIKUTA AKIFANYA KITUKO HOKI BAADA YA KUDAI KUA CHAKULA HICHO KILIKUA HAKINA MBOGA. JAMANI TUJIFUNZE KUISHI NA WATUVIZURI SIO KUKULUPUKA UMALUFU HAUTAFUTWI KIIHIVYO JAMANI SEHEMU NYINGINE KAMA HIZI ZINABIDI ZIHESHIMIWE

Thursday, January 12, 2012

JACKSON LUPANDA

shining in artist overview with his brand new partner

WEMA SEPETU

SAYUNI

ONE OF CAST IN CRUSH MOVIE, KEEP ON WAINTING COMING SOON

JOHARI WA RJ COMPUNY

HIVI JUZI KATI ALIKUTA AKIANGUKIA MIKONONI MWA POLISI BAADA YA KUGAGULIWA NA KUKUTWA AKITUMIA LESENI YA GARI ILIYO ISHIWA MDA WAKE, DADA WEWE NI MZURI KISHA UNAUWEZO TAFADHALI JALIBU KUA MAKINI ILI KUEPUKANA NA USUMBUFU KAMA HUO DADA

JACKSON LUPANDA

CRUSH PRODUCTION

DIOMOND PLUTNUM

JAMAA HUYU ANAKUJA KWA KASI MWAKA 2012 BAADA YAKUTOA KIBAO KINACHO TAMBA KWENYE CHATI MBALIMBALI ZA REDIO KINACHOJULIKANA KAMA MAWAZO. SIO SILI KIBAO HIKI KIMEWAGUSA WENGI, BIG UP SANA JAMAA, NAKUTAKIA MAISHA MEMA 2012

SAYUNI AND NATUJWA

MAKER FIRST B4 PRODUCTION

JACKSON LUPANDA

ONE OF SOUNDMAN IN CRUSH PRODUCTION

CRUSH PRODUCTION

CASTING N CAMERAMAN AND DIRECTOR ON LOCATIO AT MABIBO HOSTEL

NDIBALEMA FROLENCE

this is also one of asistance cameraman in crush production, he is very creativity

crush on progresive and this is one of cameran is crush production