WELLOCOME
bongo top ten
breaking news
Sunday, January 29, 2012
Friday, January 27, 2012
Wednesday, January 25, 2012
Wednesday, January 18, 2012
lulu
hivi juzi kati kadada haka kalijikuta kakiachwa na ndege uwanja wa mwalimu julius kambalage nyerere baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amechelewa kinyume na mda aliopangiwa, hivyo kumfanya aahalishe safari hiyo ambayo ilikua niya mapumziko tu huko nchini comoro, na badara yake yupo mkoani moshi kwa mapumziko
JACK WA CHUZI
DADA HUYU STAR WA BONGO MOVIES JUZI KATI HIVI ALIBWAGA MASHANGA BAADA YA KUSUSIA CHAKULA CHA MSIBANI KWENYE MSIBA WA MSANII MARUFU HAPA INCHI MZEEKIPARA, DADA HUYU ALIKUTA AKIFANYA KITUKO HOKI BAADA YA KUDAI KUA CHAKULA HICHO KILIKUA HAKINA MBOGA. JAMANI TUJIFUNZE KUISHI NA WATUVIZURI SIO KUKULUPUKA UMALUFU HAUTAFUTWI KIIHIVYO JAMANI SEHEMU NYINGINE KAMA HIZI ZINABIDI ZIHESHIMIWE
Thursday, January 12, 2012
Wednesday, January 11, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)