Wednesday, January 18, 2012

lulu

hivi juzi kati kadada haka kalijikuta kakiachwa na ndege uwanja wa mwalimu julius kambalage nyerere baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amechelewa kinyume na mda aliopangiwa, hivyo kumfanya aahalishe safari hiyo ambayo ilikua niya mapumziko tu huko nchini comoro, na badara yake yupo mkoani moshi kwa mapumziko

0 comments: